Jifunze Adobe Audition full Course
$19.99
Shop on Udemy

Description

Karibu katika mafunzo Audio recording na Audio Editing kwa kutumia programu ya Adobe Audition. Ni programu inayotumika kufanya Editing za sauti mbalimbali kama vile kurecord, kuongeza ubora wa sauti, kuondoa kelele/background noise kwenye sauti au videos n.k katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe Audtion, kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya Recording na Editing ya mbalimbali. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kwa matumizi yako na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Sound/Audio editing sasa.

logo

Udemy